Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis akimuwekea mikono mmoja wa Makadinali aliowateua.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amewateua makadinali wapya wa kanisa katoliki kote duniani, kutoka katika mabara matano akiwemo mjumbe wa Vatican nchini Syria.