120 wakumbwa na kipindupindu Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma

Zaidi ya wagonjwa 120 wanaugua kipindupindu katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma baada ya kupokea wagonjwa wapya watatu wakitokea katika mkoa wa Morogoro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS