Cameroon yazidi kutesa AFCON kwa wanawake Mchezaji wa Cameroon - Ngo Mbeleck Wenyeji Cameroon wameichapa Afrika Kusini bao moja kwa nunge na kufuzu kwa hatua ya nusu fainali ya Michuano ya AFCON kwa upande wa kina dada. Read more about Cameroon yazidi kutesa AFCON kwa wanawake