Baraka The Prince alia na chuki kwenye 'game'
Msanii wa muziki Baraka The Prince ameonesha kutofurahishwa na chuki za wasanii zinazoendelea kwenye game ya muziki wa bongo fleva, zinazokukuzwa sana na timu za mashabiki akidai kuwa zinasababisha wasanii wetu kukosa tuzo kubwa za maana.