Mnikulu mpya Ofisi ya Rais ateuliwa Bw. Ngusa Dismas Samike Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu Ofisi ya Rais, Ikulu (Comptroller State House - CSH). Read more about Mnikulu mpya Ofisi ya Rais ateuliwa