Wasanii bongo movie wana mgando wa mawazo - Meneja
Meneja wa muigizaji bora wa kike Afrika Mashariki Chuchu Hansy amesema wasanii wengi wa Tanzania wana mgando wa mawazo na ndiyo maana wanashindwa kufikiria mbinu mpya za kufanya kazi zao, na kubaki na movie zenye part (sehemu) kibao.
