Wenye ulemavu walalamikia kutengwa na mfumo
Watu wenye ulemavu nchini wamedai kutoridhishwa na hali ya ujumuishi wao katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo, ikiwemo masuala ya kiuchumi, siasa, elimu, afya na fursa mbalimbali ambazo zitapelekea wao kujikwamua.