Michuano ya wavu Kombe la Uhuru kuanza Desemba 05 Mashindano ya Kombe la Uhuru mpira wa Wavu yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi Desemba 05 hadi 09 mwaka huu jijini Dar es salaam kwa kushirikisha timu mbalimbali kutoka mkoa wa Dar es salaam. Read more about Michuano ya wavu Kombe la Uhuru kuanza Desemba 05