Obrey Chirwa

Klabu ya Yanga imemtoa kwa mkopo mshambuliaji wake raia wa Zambia Obrey Chirwa kwenda katika klabu yake ya zamani FC Platinum ya Zimbabwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS