Wakazi wa nyumba za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)

Vyombo vya baadhi ya wakazi wa nyumba za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam vikitolewa nje baada ya wamiliki wa nyumba kushindwa kulipia nyumba hizo kwa mujibu wa mikataba waliyokubaliana na shirika hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS