Majaliwa azitaja NGO zitakazofutwa Loliondo
Waziri Kassim Majaliwa amesema Serikali itazifutia usajili Taasisi zote zisizokuwa za Kiserikali (NGO’s) zilizoko kwenye Tarafa ya Loliondo zinazofanyakazi kinyume na katiba zake na sheria ya nchi ambapo ametoa miezi sita zijitathimini
