Vijana waiomba serikali kuwawezesha kujiajiri
Vijana wameiomba serikali kuweka mazingira wezeshi ili kuweza kuajiajiri, kwa kuanzisha viwanda vidogovidogo baada ya kuhitimu elimu mbalimbali ikiwa ni pamoja na vyuo vya ufundi wanavyosoma hapa nchini na kupunguza tatizo la ajira kwa kiasi kikubwa