Ugonjwa wa zika waingia Tanzania
Kwa mujibu wa Utafiti ulifanywa na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini, (NIMR), imesema kuwa Tanzania ina wagonjwa wa Zika ambapo asilimia 15.6 ya watu waliopimwa wamebainika kuwa na virusi vya ugonjwa huo.

