Azam yazifuata Simba na Yanga Shirikisho
Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC leo wamefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho kwa kuichapa Cosmopolitan ya ligi daraja la pili mabao 3-1 katika mchezo wa raundi ya tano uliopigwa katika dimba la Azam Complex