Simba na Yanga vitani tena Kombe la Shirikisho
Raundi ya tano ya mechi za kuwania Kombe la Shirikisho l TFF itaanza Jamamosi Januari 21, 2017 kwa timu za Young Africans na Ashanti United kukutana kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, huku Simba ikisubiri hadi Jumapili.