Man United yaibwaga Real Madrid Klabu ya Manchester United ya England imeingiza kipato kikubwa kuliko timu yoyote duniani katika msimu uliopita na kuipiku Real Madrid iliyokuwa kinara kwa mapato kwa takriban miaka 11 mfululizo. Read more about Man United yaibwaga Real Madrid