Kafulila alipata ajali ya kisiasa - Mbowe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe amempongeza aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila kwa kujiunga na chama hicho kwa mara nyingine huku akisema kuwa kilichompata ni ajali ya kisiasa.