Je, Ray amemnywesha maji mtoto wake? Ray Kigosi akiwa na mchumba wake Chuchu Hans kabla ya kupata mtoto. Muigizaji wa filamu za bongo Ray Kigosi amebahatika kupata mtoto baada ya mchumba wake Chuchu Hans kujifungua mtoto wa kiume. Read more about Je, Ray amemnywesha maji mtoto wake?