Madam Flora atangaza kuachana na albam
Msanii wa nyimbo za Injili Madam Flora (Zamani: Flora Mbasha) amesema mwaka huu utakuwa ni wa mwisho kwake kutoa albam na kwamba atakuwa anaachia single nyingi ili aweze kuwapatia mashabiki zake nyimbo nyingi mara kwa mara.