Michuano ya AFCON 2017 kuanza kutimua vumbi Gabon. Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika 2017 maarufu kama AFCON inaanza leo Jumamosi nchini Gabon huku waandalizi hao Gabon wakikabiliana na Guinea-Bissau. Read more about Michuano ya AFCON 2017 kuanza kutimua vumbi Gabon.