Samatta aendeleza makali, aibeba KRC Genk.
Mshambuliaji wa kimataifa Mbwana Ally Samatta anayeichezea timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, jana aliifungia timu yake bao la pekee na la ushidi wakati klabu hiyo ikicheza dhidi ya KAS Eupen katika Ligi Kuu ya Ubelgiji.