Uganda yakumbwa na mafua ya ndege

Waziri wa Kilimo, Viwanda na Uvuvi nchini Uganda, Christopher Kibazanga.

Serikali ya Uganda imetangaza mlipuko wa mafua ya ndege aina ya H7N9, ambapo mizoga kadhaa ya ndege imekutwa katika wilaya za katikati mwa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS