Ndoa isiyo na afya haifai - Jaydee

Msanii Lady Jaydee akiwa na mpenzi wake Spicy

Msanii wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee amefunguka na kusema wanawake wengi wanaogopa kuanza maisha mapya ya mahusiano kwani wengi wao wanashindwa kuondoka kwenye ndoa zao ambazo hazina afya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS