Serengeti Boys itarudi na kombe - Nape

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amesema kuwa ana uhakika timu ya taifa vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys, inakwenda kuchukua ubingwa wa miachuano ya Afrika kwa vijana, nchini Gabon

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS