Mahakama yatengua hukumu ya kifungo kwa Mbunge Mbunge wa Kilombero - Peter Lijualikali Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imemuachia huru mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Peter Lijualikali. Read more about Mahakama yatengua hukumu ya kifungo kwa Mbunge