Watuhumiwa dawa za kulevya wafikishwa mahakamani Baadhi ya watuhumiwa wakisubiri kusomewa mashitaka Takriban watuhumiwa 13 wa dawa za kulevya ambao ni miongoni mwa watu waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu asubuhi hii. Read more about Watuhumiwa dawa za kulevya wafikishwa mahakamani