Haya ndiyo magari anayopenda Mzee wa Upako
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye anapenda sana magari na katika magari hayo yeye anapendelea zaidi magari makubwa makubwa.