Waamuzi Yanga na Ngaya wawekwa hadharani Yanga na Ngaya mchezo wa kwanza Mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa ya Afrika kati ya Young Africans ya Tanzania na Ngaya ya Comoro kwenye hatua ya awali utachezeshwa na Waamuzi kutoka Uganda. Read more about Waamuzi Yanga na Ngaya wawekwa hadharani