Lamar awachana ma-'producer' wa bongo fleva

Producer

'Produce'r Lamar kutoka ‘Fishcrab Record Label’ amewachana ma'producer' wa sasa kwamba wana majivuno kiasi cha kushindwa kushirikiana, jambo ambalo limesababisha nyimbo zao zote kufanana tofauti na ilivyokuwa kwa upande wao miaka iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS