Mahakama Kenya yazuia ajira kwa watanzania Mahakama nchini Kenya (PICHA: MAKTABA) Mahakama ya Kazi nchini Kenya imeweka zuio la muda dhidi ya serikali ya nchi hiyo kuajiri madaktari kutoka nje ya nchi hiyo. Read more about Mahakama Kenya yazuia ajira kwa watanzania