Siasa zakwamisha ngoma mpya ya Dogo Janja

Dogo Janja

Msanii Dogo Janja ‘Janjaro‘ anayetamba na ngoma ya Kidebe amesema hawezi kuachia ngoma yake mpya kama jinsi ambavyo alivyokuwa amepanga kutokana na watanzania wengi kuwa ‘busy’ na masuala ya siasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS