'Viroba' mwisho tarehe 01 Machi, 2017 Viroba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuanzia Machi mosi, 2017 Serikali itapiga marufuku matumizi ya pakiti za plastiki kufungashiwa pombe kali maarufu kwa jina la ‘viroba’. Read more about 'Viroba' mwisho tarehe 01 Machi, 2017