Ben Pol ataja anaotamani kuwatoa
Msanii wa bongo fleva Ben Pol amesema anatamani sana kuwasaida baadhi ya wasanii ambao wapo level za chini na anatamani kuwa'push' ili wafike level za juu zaidi kwenye 'Game' hapa bongo, lakini hana uwezo huo kwa sasa.