VIDEO: TID kumshtaki Steve Nyerere
Msanii mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohamed 'TID' ameahidi kuwachukulia hatua watu wanaosambaza taarifa kuwa amepewa pesa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kama kivuli katika sekeseke la kutaja majina ya wanaohusika na dawa za kulevya.