Israel kujenga jengo la ICU Dodoma

Rais Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Israel nchini Tanzania

Serikali ya Israel imeahidi kujenga jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Mkoani Dodoma kuanzia mwishoni mwa mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS