Europa League Klabu ya Genk anayoichezea Mtanzani Mbwana Samatta imekutanishwa na majirani zao Gent zote za Ubelgiji katika hatua ya 16 bora huku Man United ikikutanishwa na Rostov ya Urusi Europa League Read more about Europa League