Bodaboda Dar mwisho saa 6 usiku Kamishna Simon Sirro Jeshi ya Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema ametoa wito kwa madereva bodaboda katika Jijini la Dar es salaam, kuacha kufanya shughuli hiyo ifikapo majira ya saa 6 usiku ili kupunguza uhalifu. Read more about Bodaboda Dar mwisho saa 6 usiku