Manara atangaza hali ya hatari Haji Manara Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara amefunguka na kusema klabu ya Yanga haiwezi kuifunga Simba sehemu yoyote ile kama mchezo utakuwa wa haki. Read more about Manara atangaza hali ya hatari