Yanga majaribuni tena wiki hii Ligi Kuu ya Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea keshokutwa Jumatano ambako mabingwa watetezi wa taji hilo, Young Africans itaalikwa na Ruvu Shooting kwenye mchezo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Read more about Yanga majaribuni tena wiki hii