Wema ataja anachokipenda katika harakati zake
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye wiki iliyopita amekihama chama chake cha muda CCM na kuingia CHADEMA amefunguka na kusema kuwa anaipenda sana siasa na siku akifanikiwa katika siasa atafurahi sana kwa kuwa ni kitu anachokipenda sana.