Mbowe aifagilia mahakama Freeman Mbowe - Mwenyekiti CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kunyimwa dhamana na kukaa gerezani kwa zaidi ya miezi mine sasa. Read more about Mbowe aifagilia mahakama