Nape ajitosa rasmi safari ya Tokyo na Gabon
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amesema atahakikisha anasaidia kupata vyanzo vya fedha vya kuaminika ili kuhakikisha safari na ushiriki wa michezo mingi zaidi katika Olimpiki 2020 jijini Tokyo, nchini Japan inafanikiwa.