Wasanii watano anaowakubali Lulu Diva Msanii wa kike ambaye pia ni 'muuza nyago' katika video za Kibongo, Lulu Abbas 'Lulu Diva' amefunguka na kutaja wasanii wake watano wa Bongo ambao anawakubali zaidi na kupenda kazi zao. Read more about Wasanii watano anaowakubali Lulu Diva