Askari polisi 7 wauawa mkoani Pwani

IGP Ernest Mangu

Taarifa za awali zinadai kuwa takriban askari 7 wa jeshi la polisi wameuawa wilayani Kibiti Mkoani Pwani baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS