Mpango wa Mtibwa kwenye usajili Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar imesema itapandisha vijana wa timu B endapo kocha Zuberi Katwila atahitaji kusajili wakati huu wa dirisha dogo. Read more about Mpango wa Mtibwa kwenye usajili