Raila agomea ushindi wa Kenyatta
Kiongozi wa muungano wa upinzani (NASA) nchini Kenya, Raila Odinga amezungumzia uamuzi uliotolewa na mahakama ya juu wa kuidhinisha uchaguzi wa Uhuru Kenyatta na kudai kwamba uamuzi huo umefanywa kwa shinikizo na kwamba wao hawatambui ushindi huo.