Simba na Yanga kuhamia Azam Complex Mechi za wikiendi hii za Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara zinazozihusu Simba na Yanga zitachezwa Uwanja wa Azam FC Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam. Read more about Simba na Yanga kuhamia Azam Complex