Kigwangalla atishwa na hili Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema wahalifu wanazidi kubuni mbinu mpya baada ya kubaini ubora wa mifumo ya kiintelijensia inayotumiwa na wizara yake kubaini uhalifu dhidi ya raslimali. Read more about Kigwangalla atishwa na hili