Wabunge wa chadema wazidi kusota

Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, imewanyima dhamana, Wabunge Peter Lijualikali, Suzan Kiwanga na wafuasi wengine 34 wa Chadema wakiwepo madiwani, na kuwarudisha mahabusu hadi Disemba 04 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS