LHRC yalaani ukiukwaji wa haki za binadamu Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Nchini, LHRC, kimesema kimesikitishwa na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mdogo wa Madiwani uliofanyika tarehe 26 Novemba . Read more about LHRC yalaani ukiukwaji wa haki za binadamu